caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 79

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:79

قَالَ رَبِّ فَأَنظِرْنِىٓ إِلَىٰ يَوْمِ يُبْعَثُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watakayofufuliwa viumbe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watayo fufuliwa viumbe.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70