فَإِذَا سَوَّيْتُهُۥ وَنَفَخْتُ فِيهِ مِن رُّوحِى فَقَعُوا۟ لَهُۥ سَٰجِدِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa nitakapomkamilisha na kumpulizia roho inayotokana nami, basi muangukieni kwa kumtii.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa nitakapo mkamilisha na kumpulizia roho inayo tokana nami, basi muangukieni kwa kumt'ii.