caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 71

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:71

إِذْ قَالَ رَبُّكَ لِلْمَلَٰٓئِكَةِ إِنِّى خَٰلِقٌۢ بَشَرًا مِّن طِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMola wako Mlezi alipowaambia Malaika: Hakika Mimi nitaumba mtu kutokana na udongo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Hakika Mimi nitaumba mtu kutokana na udongo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70