مَا كَانَ لِىَ مِنْ عِلْمٍۭ بِٱلْمَلَإِ ٱلْأَعْلَىٰٓ إِذْ يَخْتَصِمُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterSikuwa na elimu ya mambo ya viumbe wakuu watukufu walipokuwa wakishindana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSikuwa na ilimu ya mambo ya viumbe wakuu watukufu walipo kuwa wakishindana.