وَقَالُوا۟ مَا لَنَا لَا نَرَىٰ رِجَالًا كُنَّا نَعُدُّهُم مِّنَ ٱلْأَشْرَارِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWatasema: Tuna nini hata hatuwaoni wale watu ambao tukiwahisabu ndio katika waovu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWatasema: Tuna nini hata hatuwaoni wale watu ambao tukiwahisabu ndio katika waovu?