caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 61

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:61

قَالُوا۟ رَبَّنَا مَن قَدَّمَ لَنَا هَٰذَا فَزِدْهُ عَذَابًا ضِعْفًا فِى ٱلنَّارِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWaseme: Mola wetu Mlezi aliyetusababishia haya, mzidishie adhabu mara mbili Motoni.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWaseme: Mola wetu Mlezi! Aliye tusabibisha haya mzidishie adhabu mara mbili Motoni.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70