caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 50

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:50

جَنَّٰتِ عَدْنٍ مُّفَتَّحَةً لَّهُمُ ٱلْأَبْوَٰبُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBustani za milele zitakazofunguliwa milango yao kwa ajili yao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBustani za milele zitazo funguliwa milango yao kwa ajili yao.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70