caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 51

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:51

مُتَّكِـِٔينَ فِيهَا يَدْعُونَ فِيهَا بِفَٰكِهَةٍ كَثِيرَةٍ وَشَرَابٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHumo wataegemea matakia, wawe wanaagiza humo matunda mengi na vinywaji.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHumo wataegemea matakia, wawe wanaagiza humo matunda mengi na vinywaji.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70