caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 42

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:42

ٱرْكُضْ بِرِجْلِكَ هَٰذَا مُغْتَسَلٌۢ بَارِدٌ وَشَرَابٌ

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Akaambiwa:) Piga-piga ardhi kwa mguu wako! Basi haya maji baridi ya kuogea na ya kunywa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Akaambiwa:) Piga-piga ardhi kwa mguu wako! Basi haya maji baridi ya kuogea na ya kunywa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70