caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ صٓ وَٱلْقُرْءَانِ ذِى ٱلذِّكْرِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSwad. Ninaapa kwa Qur-ani yenye ukumbusho.[1]
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniS'ad, Naapa kwa Qur'ani yenye mawaidha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70