وَنَجَّيْنَٰهُ وَأَهْلَهُۥ مِنَ ٱلْكَرْبِ ٱلْعَظِيمِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tulimwokoa yeye na ahali zake kutokana na msiba mkubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tulimwokoa yeye na ahali zake kutokana na msiba mkubwa.