وَلَقَدْ نَادَىٰنَا نُوحٌ فَلَنِعْمَ ٱلْمُجِيبُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika Nuhu alituita, na Sisi ni bora wa waitikiaji.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika Nuhu alitwita, na Sisi ni bora wa waitikiaji.