caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 53

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:53

أَءِذَا مِتْنَا وَكُنَّا تُرَابًا وَعِظَٰمًا أَءِنَّا لَمَدِينُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAti tukishakufa tukawa udongo na mafupa, ndiyo tutalipwa na kufanyiwa hesabu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAti tukisha kufa tukawa udongo na mafupa, ndio tutalipwa na kuhisabiwa?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70