caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 48

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:48

وَعِندَهُمْ قَٰصِرَٰتُ ٱلطَّرْفِ عِينٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa watakuwa nao wanawake wenye macho ya staha, mazuri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa watakuwa nao wanawake wenye macho ya staha mazuri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70