قَالُوٓا۟ إِنَّكُمْ كُنتُمْ تَأْتُونَنَا عَنِ ٱلْيَمِينِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWatasema: Kwa hakika nyinyi mlikuwa mkitujia upande wa kulia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWatasema: Kwa hakika nyinyi mlikuwa mkitujia upande wa kulia.