caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ وَٱلصَّٰٓفَّٰتِ صَفًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNinaapa kwa wanaojipanga kwa safu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNaapa kwa wanao jipanga kwa safu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70