caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 68

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:68

وَمَن نُّعَمِّرْهُ نُنَكِّسْهُ فِى ٱلْخَلْقِ أَفَلَا يَعْقِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tunayemzeesha, tunamrudisha nyuma katika umbo. Basi je, hawazingatii?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tunaye mzeesha tunamrudisha nyuma katika umbo. Basi je! hawazingatii?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70