caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 67

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:67

وَلَوْ نَشَآءُ لَمَسَخْنَٰهُمْ عَلَىٰ مَكَانَتِهِمْ فَمَا ٱسْتَطَٰعُوا۟ مُضِيًّا وَلَا يَرْجِعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tungelitaka, tungewageuza sura hapo hapo walipo, basi wasingeweza kwenda wala kurudi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tungeli taka tunge wageuza sura hapo hapo walipo, basi wasinge weza kwenda wala kurudi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70