هُمْ وَأَزْوَٰجُهُمْ فِى ظِلَٰلٍ عَلَى ٱلْأَرَآئِكِ مُتَّكِـُٔونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya kifahari.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari.