caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 55

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:55

إِنَّ أَصْحَٰبَ ٱلْجَنَّةِ ٱلْيَوْمَ فِى شُغُلٍ فَٰكِهُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika watu wa Bustani ya mbinguni leo wamo shughulini, wamefurahi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika watu wa Peponi leo wamo shughulini, wamefurahi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70