caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 57

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:57

لَهُمْ فِيهَا فَٰكِهَةٌ وَلَهُم مَّا يَدَّعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWatapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakachokitaka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWatapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho kitaka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70