مَا يَنظُرُونَ إِلَّا صَيْحَةً وَٰحِدَةً تَأْخُذُهُمْ وَهُمْ يَخِصِّمُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHawangojei isipokuwa ukelele mmoja tu utakaowachukua nao wamo kuzozana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHawangojei ila ukelele mmoja tu utakao wachukua nao wamo kuzozana.