caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 48

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:48

وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَٰدِقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa nyinyi ni wakweli?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa nyinyi ni wakweli?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70