caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 34

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:34

وَجَعَلْنَا فِيهَا جَنَّٰتٍ مِّن نَّخِيلٍ وَأَعْنَٰبٍ وَفَجَّرْنَا فِيهَا مِنَ ٱلْعُيُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukafanya ndani yake mabustani ya mitende na mizabibu, na tukatimbua chemichemi ndani yake.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukafanya ndani yake mabustani ya mitende na mizabibu, na tukatimbua chemchem ndani yake,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70