caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 35

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:35

لِيَأْكُلُوا۟ مِن ثَمَرِهِۦ وَمَا عَمِلَتْهُ أَيْدِيهِمْ أَفَلَا يَشْكُرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIli wale katika matunda yake, na hayo hayakufanywa na mikono yao! Basi je, hawashukuru?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIli wale matunda yake, na hayo hayakufanywa na mikono yao! Basi je, hawashukuru?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70