caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 27

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:27

بِمَا غَفَرَ لِى رَبِّى وَجَعَلَنِى مِنَ ٱلْمُكْرَمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJinsi Mola wangu Mlezi alivyonisamehe, na akanifanya miongoni mwa walioheshimiwa."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJinsi Mola wangu Mlezi alivyo nisamehe, na akanifanya miongoni mwa walio hishimiwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70