caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yaseen, Aya 26

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 41 · 36:26

قِيلَ ٱدْخُلِ ٱلْجَنَّةَ قَالَ يَٰلَيْتَ قَوْمِى يَعْلَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkaambiwa: "Ingia Peponi!" Akasema: "Laiti kuwa watu wangu wangelijua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkaambiwa: Ingia Peponi! Akasema: Laiti kuwa watu wangu wangeli jua
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70