caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saba, Aya 49

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 58 · 34:49

قُلْ جَآءَ ٱلْحَقُّ وَمَا يُبْدِئُ ٱلْبَٰطِلُ وَمَا يُعِيدُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: "Kweli imefika, na batili haijitokezi, wala hairudi."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Kweli imefika, na uwongo haujitokezi, wala haurudi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70