caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Room, Aya 17

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 84 · 30:17

فَسُبْحَٰنَ ٱللَّهِ حِينَ تُمْسُونَ وَحِينَ تُصْبِحُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi Subhanallah (Mtakaseni Mwenyezi Mungu) jioni na asubuhi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi Subhanallah! Mtakaseni Mwenyezi Mungu jioni na asubuhi,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70