فَأَمَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَهُمْ فِى رَوْضَةٍ يُحْبَرُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAma wale walioamini na wakatenda mema, watafurahishwa katika Bustani.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAma walio amini na wakatenda mema watafurahishwa katika Bustani.