caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Aal-i-Imraan, Aya 43

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 89 · 3:43

يَٰمَرْيَمُ ٱقْنُتِى لِرَبِّكِ وَٱسْجُدِى وَٱرْكَعِى مَعَ ٱلرَّٰكِعِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEwe Maryam! Mnyenyekee Mola wako Mlezi, na usujudu, na urukuu pamoja na wanaorukuu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEwe Maryamu! Mnyenyekee Mola Mlezi wako na usujudu na uiname pamoja na wainamao.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70