caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Aal-i-Imraan, Aya 138

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 89 · 3:138

هَٰذَا بَيَانٌ لِّلنَّاسِ وَهُدًى وَمَوْعِظَةٌ لِّلْمُتَّقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHuu ni ubainisho kwa watu wote, na ni uongofu, na mawaidha kwa wacha Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHii ni bayana kwa watu wote, na ni uwongofu, na mawaidha kwa wachamngu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70