وَلَا تَهِنُوا۟ وَلَا تَحْزَنُوا۟ وَأَنتُمُ ٱلْأَعْلَوْنَ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala msilegee, wala msihuzunike, kwani nyinyi ndio wa juu ikiwa nyinyi ni Waumini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala msilegee, wala msihuzunike, kwani nyinyi ndio wa juu mkiwa ni Waumini.