وَٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَنُدْخِلَنَّهُمْ فِى ٱلصَّٰلِحِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wale walioamini na wakatenda mema, bila ya shaka tutawatia miongoni mwa watu wema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa walio amini na wakatenda mema, bila ya shaka tutawatia miongoni mwa watu wema.