وَتِلْكَ ٱلْأَمْثَٰلُ نَضْرِبُهَا لِلنَّاسِ وَمَا يَعْقِلُهَآ إِلَّا ٱلْعَٰلِمُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hiyo ni mifano tunawapigia watu, na hawaifahamu isipokuwa wenye elimu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hiyo ni mifano tunawapigia watu, na hawaifahamu ila wenye ilimu.