caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ankaboot, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 85 · 29:11

وَلَيَعْلَمَنَّ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَلَيَعْلَمَنَّ ٱلْمُنَٰفِقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hapana shaka Mwenyezi Mungu atawajua wale walioamini, na atawajua wanafiki.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hapana shaka Mwenyezi Mungu atawatambulisha walio amini, na atawatambulisha wanaafiki.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70