caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qasas, Aya 74

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 49 · 28:74

وَيَوْمَ يُنَادِيهِمْ فَيَقُولُ أَيْنَ شُرَكَآءِىَ ٱلَّذِينَ كُنتُمْ تَزْعُمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa siku atakapowaita na akasema, "Wako wapi hao mliokuwa mkidai kuwa ni washirika wangu?"
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa siku atakapo waita na akasema: Wako wapi hao mlio kuwa mkidai kuwa ni washirika wangu?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70