caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qasas, Aya 65

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 49 · 28:65

وَيَوْمَ يُنَادِيهِمْ فَيَقُولُ مَاذَآ أَجَبْتُمُ ٱلْمُرْسَلِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa siku atakapowaita na akasema, "Mliwajibu nini Mitume?"
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa siku atapo waita na akasema: Mliwajibu nini Mitume?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70