caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qasas, Aya 66

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 49 · 28:66

فَعَمِيَتْ عَلَيْهِمُ ٱلْأَنۢبَآءُ يَوْمَئِذٍ فَهُمْ لَا يَتَسَآءَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi zitawapotea habari siku hiyo, nao hawataulizana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi zitawapotea khabari siku hiyo, nao hawataulizana.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70