وَلَقَدْ وَصَّلْنَا لَهُمُ ٱلْقَوْلَ لَعَلَّهُمْ يَتَذَكَّرُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa sasa kwa yakini tumewafikishia Neno moja baada ya lingine ili wapate kukumbuka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa sasa kwa yakini tumewafikishia Neno ili wapate kukumbuka.