caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 72

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:72

قُلْ عَسَىٰٓ أَن يَكُونَ رَدِفَ لَكُم بَعْضُ ٱلَّذِى تَسْتَعْجِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Huenda yako karibu kuwafikia sehemu ya yale mnayoyahimiza.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Asaa ni karibu kukufikieni sehemu ya yale mnayo yahimiza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70