caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 69

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:69

قُلْ سِيرُوا۟ فِى ٱلْأَرْضِ فَٱنظُرُوا۟ كَيْفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلْمُجْرِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Nendeni katika ardhi, na tazameni ulikuwaje mwisho wa wahalifu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Nendeni katika ardhi, na tazameni ulikuwaje mwisho wa wakosefu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70