caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 70

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:70

وَلَا تَحْزَنْ عَلَيْهِمْ وَلَا تَكُن فِى ضَيْقٍ مِّمَّا يَمْكُرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala usiwahuzunikie wala usiwe katika dhiki kwa sababu ya hila zao wanazozifanya.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala usiwahuzunukie wala usiwe katika dhiki kwa sababu ya hila zao wanazo zifanya.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70