caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 57

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:57

فَأَنجَيْنَٰهُ وَأَهْلَهُۥٓ إِلَّا ٱمْرَأَتَهُۥ قَدَّرْنَٰهَا مِنَ ٱلْغَٰبِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi tukamwokoa yeye na ahali zake, isipokuwa mkewe; tukamkadiria katika waliobaki nyuma.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi tukamwokoa yeye na ahali zake, isipo kuwa mkewe; tukamkadiria katika walio baki nyuma.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70