وَأَمْطَرْنَا عَلَيْهِم مَّطَرًا فَسَآءَ مَطَرُ ٱلْمُنذَرِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukawanyeshea mvua. Basi ni ovu mno mvua hiyo ya wale waliokwisha onywa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukawanyeshea mvua. Ni ovu kweli kweli hiyo mvua ya walio kwisha onywa.