caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 54

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:54

وَلُوطًا إِذْ قَالَ لِقَوْمِهِۦٓ أَتَأْتُونَ ٱلْفَٰحِشَةَ وَأَنتُمْ تُبْصِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Luti alipowaambia watu wake, "Je, mnafanya uchafu nanyi mnaona?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Luut'i alipo waambia watu wake: Je! Mnafanya uchafu nanyi mnaona?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70