caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 53

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:53

وَأَنجَيْنَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَكَانُوا۟ يَتَّقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukawaokoa wale walioamini na waliokuwa wanamcha Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukawaokoa wale walio amini na walio kuwa wanamchamngu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70