caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 50

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:50

وَمَكَرُوا۟ مَكْرًا وَمَكَرْنَا مَكْرًا وَهُمْ لَا يَشْعُرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi wakapanga mipango yao, na Sisi tukapanga mipango yetu, na wao hawatambui.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi wakapanga mipango yao, na Sisi tukapanga mipango yetu, na wao hawatambui.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70