caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 35

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:35

وَإِنِّى مُرْسِلَةٌ إِلَيْهِم بِهَدِيَّةٍ فَنَاظِرَةٌۢ بِمَ يَرْجِعُ ٱلْمُرْسَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterLakini mimi nitawatumia zawadi, nami nitangoja watakayorudi nayo wajumbe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLakini mimi nitawapelekea zawadi, nami nitangoja watakayo rudi nayo wajumbe.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70