caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 53

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:53

فَأَرْسَلَ فِرْعَوْنُ فِى ٱلْمَدَآئِنِ حَٰشِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi Firauni akawatuma mijini wakusanyaji.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi Firauni akawatuma mijini wapiga mbiu za mgambo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70